Home Entertainment Jamaa amekatwa mjulus na mama juu alimkazia veve – GhettoRadio 89.5 FM

Jamaa amekatwa mjulus na mama juu alimkazia veve – GhettoRadio 89.5 FM

by kenya-tribune
9 views

Mdenge alikata mjulus ya mzae wa kwake juu alimnyima ketepa, amefikishwa mbwenya.

Esther Kaio, mtaa ni Igembe North, Meru county, amepatikana guilty ya attempted murder after alichinja mjulubeng ya huzzy.

Jajiko wa mbwenya Maua, Tito Gesora, alikubaliana na prosecution kwa hio kesi ati Kaio ni kama alikua anataka kumnyuria maze wa kwake.

Ati jajiko juu ya hio ngori, alimsentence mama miaka 15 zangaro.

Akijitetea, alisho mbwenya haikuwa intentional, ni vile zilikua zimeshika, na ati pia yeye ni fyat.

Ati hata yeye alishangaa kujipata ako kwa cell, hakumbuki vile kulienda.

READ ALSO; Morio Alikua Amedunga Kama Riambez Amebambwa Migori

Jajiko anadai ingewaje evidence zinasho ni short wire, pia ilionekana ni kama alikua amepanga kumnyuria mzae kwa muda.

Prosecution walichapia mbwenya vile mama alikata mjulubeng mzae akiwa amedoze, juu ati huzzy alikwara kugawanya veve surba jamo.

Mzae naye anadai alipigwa mosheti kwa mdihe na miguu, alafu mama akakwachu nyoi na kukata mjulus na mabengo.

Hauskii hadi alitry kumforce ameze chemicals flani.

Ni mdaughter wao aliskia hio commotion na akapiga nduru maneighbour wakamuok kumsave.

Walimkimbiza Chaaria Mission hospital penye wali shikanisha engine na body.

You may also like